Staki Kuamini App ya Mwananchi Yanga Inamilikiwa na Yanga

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Hivi majuzi Manara alikuwa amekuwa akipromote App moja inaitwa Mwnanchi App Yanga kana kwana kwamba ni App rasmi ya Yanga.

Binafsi hii hii haiina hadhi ya kuwa official apps inayomilikiwa Club Kubwa na Kongwe hapa barani Africa

Yanga ni Club Kubwa na Kogwe lazima Mambo yake, Miundo mbinu yake ishabiane na ukubwa (Hadhi) wake.

Haiwezekani app yenye Muonekano wa hovyo, rough, isiyo na mvuto kiasi hiki kumilikiwa na club yangu ya Yanga nasema, haiwezekani, Huenda ni Ya Manara Binafsi au ya Mtu Binafsi.

Ijulikanane kuwa sisi mashabiki na wanachama wa tunategemea sana kupata taarifa za club yetu pendwa kwenye offical platforms za club, app ni koja wapo wa platform muhimu sana kwenye kitia taarifa ukiacha social media accounts, kwani kwenye app unaweuwanja mpana wa kupata taarifa na mambo mengine mengi.

Kwa minajili hiyo Yanga imiliki App cheap isiyo na ubunifu kama hii no kuishishia hadhi club yetu.

Haitakuwa afya kujivunia kuwa na vijana wazuri wa graphics na miundo mbinu bora ya Designing Station bomba kiasi kile then tunashindwa kufanya ubunifu wa kuwa na app nzuri yenye hadhi ya timu kubwa na Kogwe.

Hivyo naiomba ofisi ya Rais ikishirikiana na ofisi ya Habari na Mahusiano ifanye kazi yake ikiwa ni app offical ya club basi iboreshwe iwe na hadhi ya club yetu, tunaweza kuiga app ya Mwanajagwani Mwana Jangwani - Apps on Google Play (sijui kama nayo ni app offical ya mwanajagwani au lah).

Kurunzi
Nikiwa Manzese Urafiki - Dar
20/07/2022
 
Sope yupo Yanga kutengeneza fedha. Uliona wapi mtu akaanza kuishabikia Simba au Yanga akiwa na umri zaidi ya miaka arobaini?
 
Back
Top Bottom