Stalker hadi kwenye simu

Stalker hadi kwenye simu

Najua secret admirers ninao wengi sana....ninao all over the world from all walks of life.

But damn!

If someone calls me they better say something...nah'I mean?
Anaogopa aanzie wapi

Itakuwa anafahamu wewe mkali labda ama una maneno magumu kumeza
 
Anaogopa aanzie wapi

Itakuwa anafahamu wewe mkali labda ama una maneno magumu kumeza

I am the most lovable, huggable, harmless little fuzzball you can find walking the face of the earth.

There is no need to fear me. None whatsoever.
 
Sasa nitamsaidiaje kama hasemi chochote.

Anakera sana na huo ukimya wake.

Ila labda huenda anaipenda sauti yangu...yaani anapenda tu kuisikia ikisema 'haloo'.

Wachuchu huwa wanasema ni nzito na yenye kuongeza joto flani hivi...

Ww ndiye daktari wake ipo siku atakwambia kinachomsibu[emoji23][emoji23][emoji23]mwenziyo yupo nyang'anyang'a[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I am the most lovable, huggable, harmless little fuzzball you can find walking the face of the earth.

There is no need to fear me. None whatsoever.
sio kwa kujisifia huko...

naomba namba yako nije nisikie hiyo sauti TU...
 
akikupa naomba unitumie na mimi nimsikie hyo haloo !
Mi nimewahi kumsikia kipindi fulani.

Ukisikia sauti yake utaomba akuoe bila kutoa mahari. Sauti tu. Halafu ni msikilizaji mzuri mno. Ngoja niache hapa.

Hahahahahah lol mi nakutania tu bana. Akinipa ntakupa pia usijali.
 
Mate, some people are just stupid and you can't do anything about it.

You are right!

You can't fix stupid!

images
 
Mi nimewahi kumsikia kipindi fulani.

Ukisikia sauti yake utaomba akuoe bila kutoa mahari. Sauti tu. Halafu ni msikilizaji mzuri mno. Ngoja niache hapa.

Hahahahahah lol mi nakutania tu bana. Akinipa ntakupa pia usijali.
nyani ngabu anioe ? hapana kwa kweli simuwezi hata sijawai kumuadmire kwenye mind namuona yupo complicated sana
 
Back
Top Bottom