venossah
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 2,583
- 3,684
Hajamboo...Poa mae... Shem hajambo ee
Sijui shem langu anaendeleaje.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hajamboo...Poa mae... Shem hajambo ee
Ha,haaa....[emoji23] acha uoga bana
Ha haa inabidi uwavizie kwenye chitchat hao...Ha,haaa....
Yaan ukiwa Quote hao watu, uwe umejipanga kwa jibu lako.
Are you serious? Na mimi najiona mzee wakati 1968 nilikuwa standard five (tulikuwa hatuiti grade five!)Mwaka 1968 nilikuwa namalizia MBA yangu University of Wisconsin - Madison.
AseeKuna watu wanashangaza sana.
Unakuta mtu anahangaika kuitafuta namba yako hadi anaipata.
Halafu akishaipata anaanza kukupigia simu.
Na kila ukipokea na kusema 'haloo' mwenzio anakata simu.
Halafu akiwa anapiga anakuwa ameficha [ame block] namba yake isionekane kwenye caller ID yako.
Anaweza kukupigia simu hata mara nne ndani ya wiki.
Siku zingine akipiga ukipokea na kusema 'haloo' naye anaitikia na kusema 'haloo' halafu anakata.
Na sauti yenyewe hiyo ya upande wa pili ni ya mdada.
Sasa wewe mdada...kama wewe ni fan wa NN si ujitambulishe tu....
Kwa nini unahangaika na kunipigia halafu nikipokea husemi kitu?
Unaogopa nini? Mimi sing'ati bana.
Kama huwezi kusema chochote ni bora uache tu kunipigia.
Natumaini safari ijayo ukipiga walau utasema lolote....sawa bibie?
Talk to you soon.
DuuhAre you serious? Na mimi najiona mzee wakati 1968 nilikuwa standard five (tulikuwa hatuiti grade five!)