Stam Shaiban mix’s nganda aliyeishi maisha ya kifahari

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011

Collection ya magari yake ni pamoja na Rolls Royce, Porches, Bentley. Umri wake ni miaka 40. Alitumia encro phone, hii ni simu ambayo gps na camera vimetolewa na message zake ziko encryptied.

Catalogue la nyumba zenye thamani ya £5m Polisi walimkuta na £1m cash ndani ya nyumba.

Kifungo chake kitakua kirefu sana. Ushahidi wa cocaine pia ulikutwa nyumbani kwake.

Cocaine iliyokutwa ndani ya nyumba yake
 
Wauza unga wengi wa kiafrica ni shida sana. Wengi hawajui jinsi ya kuisafisha pesa. Wenyewe wakipata wanafanya matanuzi ya ovyo bila kujali serikali inaweza kuwafatilia chanzo cha pesa zao ni nini.

Inabid sasa ma tycoon watoe elimu kwa mapunda wao jinsi ya kusafisha pesa.
 
Walimfuatilia muda mrefu sana na ameshindwa ku declare vyanzo vyake vya mapato.
 
Tatizo letu ngozi nyeusi ni kupenda sana sifa.

Huwezi kuvaa suti halafu ukakaa tu home umerelax. Inabidi hata kama huna pa kwenda, ukazurule tu huko ujipitishe pitishe watu wakuone ndio nafsi itulie.

Ukiwa na pesa halafu unatumia tu kwa mahitaji yako, watu watajuaje kuwa unapesa ?

Inabidi mwembwe ziwe nyingi, magari, pesa ili watu wakuone pesa ipo.

Si unaona kina Diamond wanavyojaribu kutangazia dunia jinsi walivyo na pesa?
 
Alinunua nyumba £1.7m cash Kensington. Hii ni mitaa mfano wa Masaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…