Stam Shaiban mix’s nganda aliyeishi maisha ya kifahari

Huo muda atakuwa mzee tayari....
dunia itakuwa imempita sana
Uzuri jela za Ulaya unapewa mwana saikolojia wiki ya kwanza unajiangalia unapenda kitu gani baada ya hapo unachagua mafunzo kutokana na urefu wa kifungo chako. Unaweza kuamua kusoma degree kama una kifungo cha muda mrefu.
Kuna Mzenj alitoka na ujuzi mzuri wa kujenga, kufunga mabomba na kupaka rangi. Anasema ukifaulu mitihani unaanza kazi. Kuna maofisa wanaotafuta tenda mfano kujenga shule. Asubuhi mnapelekwa na mshahara mnalipwa mwisho wa wiki.
 
Uzuri jela za Ulaya unapewa mwa saikolojia wiki ya kwanza unajiangalia unapenda kitu gani baada ya hapo unachagua mafunzo kutokana na urefu wa kifungo chako. Unaweza kukamua kusoma degree kama Ina kifungo cha muda mrefu.
Kuna Mzenj alitoka na ujuzi mzuri wa kujenga, kufunga mabomba na kupaka rangi. Anasema ukifaulu mitihani unaanza kazi. Kuna maofisa wanaotafuta tenda mfano kujenga shule. Asubuhi mnapelekwa na mshahara mnalipwa mwisho wa wiki.
Niambie nchi gani nikauwe ili nifungwe chaap!
 
Uzuri jela za Ulaya unapewa mwana saikolojia wiki ya kwanza unajiangalia unapenda kitu gani baada ya hapo unachagua mafunzo kutokana na urefu wa kifungo chako. Unaweza kuamua kusoma degree kama una kifungo cha muda mrefu.
Kuna Mzenj alitoka na ujuzi mzuri wa kujenga, kufunga mabomba na kupaka rangi. Anasema ukifaulu mitihani unaanza kazi. Kuna maofisa wanaotafuta tenda mfano kujenga shule. Asubuhi mnapelekwa na mshahara mnalipwa mwisho wa wiki.
Duh! Scholarship ya bure kabisa! Naruhusiwa kutembelewa na "mwenza"?
 
Back
Top Bottom