STAMICO watoa gawio. Nao wamekopa?

nokwenumuya

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2019
Posts
820
Reaction score
2,896
Leo STAMICO wametoa gawio la 2.2 B kwa serikali.

Juzi Mama yenu alikuwa anaponda Mashirika kuwa yalikuwa yanakopa ili kutoa gawio kwa Serikali.

Sasa naona na yeye anaenda mulemule.

Kukaa na mnafiki ni hatari kwa afya na maisha yako.
 
Kukaa na marafiki furahaaaa, x3🏃🏃🏃
 
Yeye adui yake ni Magufuli amepata watu wachache kwenye ziara analalamikia wapiga picha! Yaani basi tu kajikuta huko pale na blahblah kibao!
Hajui kuwa hawakumchagua na hawamkubali sababu ya matendo yake
 
Wako vizuri wana tenda za kutosha siku hizi hicho kwa ni kipato cha mwezi moja tu.
 
Hizi sarakasi ndio mpaka lini mmesema, 2030?

Safari ni ndefu.
 
Kwahio by then hakujua? Au alijua akakaa kimya akaogopa kusema?

Na kama aliogopa then tutajuaje au leo ni mangapi labda anaogopa kuyasema ? Sababu hata Mabeberu nao ni wababe. Huyu anasahau kwamba mabaya yote yaliyofanyika na yeye alikuwa part and parcel
 
Maana yake hata wale waliotaka kutoa gawio kawakatiza. Watapiga tu hela kama zamani.
 
Maana yake hata wale waliotaka kutoa gawio kawakatiza. Watapiga tu hela kama zamani.
Watu bila kuwapush hawawezi kuja na matokeo mazuri. Mashirika haya ni lazima yafanye biashara na kuleta faida. La sivyo ni bora viongozi waliopo wajiudhuru au yafutwe.

Ukimchekea nyani unavuna mabua.
 
Reactions: nao
Leo STAMICO wametoa gawio la 2.2 B kwa serikali.

Juzi Mama yenu alikuwa anaponda Mashirika kuwa yalikuwa yanakopa ili kutoa gawio kwa Serikali.

Sasa naona na yeye anaenda mulemule.

Kukaa na mnafiki ni hatari kwa afya na maisha yako.
RASIMU alosimamia Judge WARIOBA irudi mezani mjadala uanzie hapo.

Tuanzie ilipoishia Rasimu ya Judge Warioba kabla haijawah KATIBA PENDEKEZWA.

Mzee wetu AAPISHWE Ili amalizie KAZI aliyoianza.

Mnyika aongea lugha ya HAKI.
Ameeeen
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…