IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Ajifunze kwa ile jingle ya Mondi Ya Beti na parimatch
Hapa ndio Mondi anawapiga gape wenzake
Hapa ndio Mondi anawapiga gape wenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hapo sasa, kama lawama zinastahili bs ziende kwa kampuni pia.....unaweza kukuta ndo maelekezoyeye kafuata maelekezo ya waliompa dili. unafikiri baada ya kurekodi parimatch hawakuliahakiki?
Kama Ni hivyo mbona jingle la Diamond la parimatch ajaponda kampuni nyingine ya kubet?Me nazani yeyemwenyewe Wala sio maelezo ya kampuni.hapo sasa, kama lawama zinastahili bs ziende kwa kampuni pia.....unaweza kukuta ndo maelekezo
apewe muda, kukaa muda mrefu bila dili km hilo huenda kumempa mchecheto flani uliomfanya awe hivyo!Kama Ni hivyo mbona jingle la Diamond la parimatch ajaponda kampuni nyingine ya kubet?Me nazani yeyemwenyewe Wala sio maelezo ya kampuni.