IamMrLiverpool JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 4,362 Reaction score 6,274 May 28, 2020 #21 Ajifunze kwa ile jingle ya Mondi Ya Beti na parimatch Hapa ndio Mondi anawapiga gape wenzake
N NIMEONA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2019 Posts 3,862 Reaction score 5,693 May 28, 2020 #22 Rodrigo Moreno said: yeye kafuata maelekezo ya waliompa dili. unafikiri baada ya kurekodi parimatch hawakuliahakiki? Click to expand... hapo sasa, kama lawama zinastahili bs ziende kwa kampuni pia.....unaweza kukuta ndo maelekezo
Rodrigo Moreno said: yeye kafuata maelekezo ya waliompa dili. unafikiri baada ya kurekodi parimatch hawakuliahakiki? Click to expand... hapo sasa, kama lawama zinastahili bs ziende kwa kampuni pia.....unaweza kukuta ndo maelekezo
H Hziyech22 JF-Expert Member Joined Jun 8, 2019 Posts 15,351 Reaction score 21,362 May 28, 2020 Thread starter #23 NIMEONA said: hapo sasa, kama lawama zinastahili bs ziende kwa kampuni pia.....unaweza kukuta ndo maelekezo Click to expand... Kama Ni hivyo mbona jingle la Diamond la parimatch ajaponda kampuni nyingine ya kubet?Me nazani yeyemwenyewe Wala sio maelezo ya kampuni.
NIMEONA said: hapo sasa, kama lawama zinastahili bs ziende kwa kampuni pia.....unaweza kukuta ndo maelekezo Click to expand... Kama Ni hivyo mbona jingle la Diamond la parimatch ajaponda kampuni nyingine ya kubet?Me nazani yeyemwenyewe Wala sio maelezo ya kampuni.
N NIMEONA JF-Expert Member Joined Aug 4, 2019 Posts 3,862 Reaction score 5,693 May 28, 2020 #24 innocent dependent said: Kama Ni hivyo mbona jingle la Diamond la parimatch ajaponda kampuni nyingine ya kubet?Me nazani yeyemwenyewe Wala sio maelezo ya kampuni. Click to expand... apewe muda, kukaa muda mrefu bila dili km hilo huenda kumempa mchecheto flani uliomfanya awe hivyo!
innocent dependent said: Kama Ni hivyo mbona jingle la Diamond la parimatch ajaponda kampuni nyingine ya kubet?Me nazani yeyemwenyewe Wala sio maelezo ya kampuni. Click to expand... apewe muda, kukaa muda mrefu bila dili km hilo huenda kumempa mchecheto flani uliomfanya awe hivyo!