Stamina Sharo Bweeenz, The best, The least appreciated

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2015
Posts
1,034
Reaction score
2,624
Mara nyingi huwa nikiandika uzi, nikianza tu na kichwa cha habari mfano nianze na neno "Wema Sepetu"...Basi zitakuja post kibao zenye kumzungumzia huyo mtu..Si yeye pekee, ni wengi...Lakini nilivyoanza uzi huu na jjina la Stamina..Holaaaaaaa....Siui hata kama kumeshawahi kuwa na thread hummu inayomuhusu....

Mimi kwa sasa, sioni msanii yoyote wa real hip hop anayemgusa huyu jamaa...Jamaa ni mkali vibaya mnoo...Ukiskiliza mistari yake utaelewa nini nazungumzia...Yaani anafanya hip hop ile ileeeee.....Ana mistari yenye mafunzo saana...

The issue ni kuwa jamaa hapati appreciation ya kutosha, nadhani hata airtime pia hapati anayostahili...Nilimsikiliza siku moja anaongea radio fulani anaulizwa kuhusu video akajibu "Nitafanya video itakayolingana na uwezo wangu, siwezi kung'ang'aniza kichupa kikali ikiwa sina uwezo huo"..Pia akaonesha ni mtu anayehitaji sana management nzuri itakayomsupport financially na nna uhakika atafika mbali saaaana....

Sio siri kuwa kwa sasa Tz management iliyosimama vizuri kipesa na connection ni WCB...May be ni wakati wenu WCB kupanua uwanja na kusign wasanii wa HIPHOP pia...Sipati picha jamaa akituliza akili kwa kuwezeshwa vichupa na recordings atatoa madude yennye uzito gani..But jamaa anatisha sana...

Nawasilisha
 
Unachosema wewe nnaweza kukubaliana nawe kwa kiasi fulan kuwa jamaa ni mwanamziki mzuri.

Ila ingempasa walau abadili kidogo style ya uimbaji isiwe ile hardcore hip-hop hapo itamsaidia kutoboa zaidi aige mfano wa akina Joh Makini
 
Katika maisha unatakiwa uwe flexible! Uendane na wakati, sasa yeye swaga za mwaka juzi bado anazing'ang'ania mpaka leo.. Haoni hata wakongwe, magodfather wa bongo hip hop wanaenda na wakati, cheki fid Q alivyobadilika kwenye 'walk it off'
 
Jamaa yuko vizur sana. Niliwahi kusikia interview yake moja kwmb kabla hajaingia kwny game alikuwa anaandika tu kujifurahisha. Jamaa yuko vzuri sana. Sema wasanii wa hip hop bongo kutoboa ni shda!!
 
Hakuna Snitch kama pesa... Ukimpata fanya vya maana... Akiondoka utamsaka usiku na mchana.....

Stamina!! Kwa sasa hakuna anayemgusa! #Baddest
 
Jamaa yuko hot sana this time,nafikiri jamaa hana tu management lkn yuko poa sana.Cheki nyimbo yake mpya #Mmeniroga# bonge la wimbo
 
ni shorwe
jamaa namkubali hakunaga tz
anachana mpaka naogopa afu ana mafunzo sana.... basi tu tatizo *
 
hivi jamani ni kipi kifanyike ili mziki wa hiphop bongo ukue na kupendwa na kubadilisha maisha ya wasanii kwa kias kikubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…