vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,624
Mara nyingi huwa nikiandika uzi, nikianza tu na kichwa cha habari mfano nianze na neno "Wema Sepetu"...Basi zitakuja post kibao zenye kumzungumzia huyo mtu..Si yeye pekee, ni wengi...Lakini nilivyoanza uzi huu na jjina la Stamina..Holaaaaaaa....Siui hata kama kumeshawahi kuwa na thread hummu inayomuhusu....
Mimi kwa sasa, sioni msanii yoyote wa real hip hop anayemgusa huyu jamaa...Jamaa ni mkali vibaya mnoo...Ukiskiliza mistari yake utaelewa nini nazungumzia...Yaani anafanya hip hop ile ileeeee.....Ana mistari yenye mafunzo saana...
The issue ni kuwa jamaa hapati appreciation ya kutosha, nadhani hata airtime pia hapati anayostahili...Nilimsikiliza siku moja anaongea radio fulani anaulizwa kuhusu video akajibu "Nitafanya video itakayolingana na uwezo wangu, siwezi kung'ang'aniza kichupa kikali ikiwa sina uwezo huo"..Pia akaonesha ni mtu anayehitaji sana management nzuri itakayomsupport financially na nna uhakika atafika mbali saaaana....
Sio siri kuwa kwa sasa Tz management iliyosimama vizuri kipesa na connection ni WCB...May be ni wakati wenu WCB kupanua uwanja na kusign wasanii wa HIPHOP pia...Sipati picha jamaa akituliza akili kwa kuwezeshwa vichupa na recordings atatoa madude yennye uzito gani..But jamaa anatisha sana...
Nawasilisha