Stamina vs songa..Kuna mtu kakalishwa

Songa ana freestyle???..Mkuu we umeangalia video nyingine ama?
Hiyo hiyo uliyoona wewe, hata anavyo hasitate unajua tu kabisa ni mtu anayefikirisha kichwa kutafuta punch lines,

ila stamina alikuwa anaflow tu alafu ni mistari iliyopangwa kabisa, japo Songa raund ya pili alianza na yy kama pale alipokuwa anaongelea magroup ya whatsapp unajua kabisa ni vitu alishaandika kabla na vipo kichwani..
 
Hiyo ndo flow ya Songa mkuu..Kifupi sijawahi kumuona Songa akifreestyle
 
Hiyo ndo flow ya Songa mkuu..Kifupi sijawahi kumuona Songa akifreestyle
Inawezekana tunatofautiana katia usikilizaji wa muziki.

Ila mi naamini pale Songa alikuwa ana freestyle tofauti na Stamina na sababu nimekupa hapo juu
 
Anakuambia "sio HIP HOP hailipi, wewe ndo hauilipo HIP HOP"
 
Nimekuja mkuku nikijua ni Jo Wilfred Songa mkali wa tennis.
Nimeishiwa nguvu kabisa.
 
" uza sura usiuze kitu ambacho sicho, ukimwona muuza sura mwambie atauza hadi jicho" by Stamina[emoji23][emoji23]
Hahaa sio mtu mzuri huyu stamina....Mi ni nguruwe ninayefugwa nyuma ya msikiti
 
Stamina Nouma sn lkn huwez kumdharau Songa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…