Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Ukimaanisha Songa ndo ame freestyle ama?Kwa maana halisi ya freestyle...
Stamina amekalishwa..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukimaanisha Songa ndo ame freestyle ama?Kwa maana halisi ya freestyle...
Stamina amekalishwa..!
Hiyo hiyo uliyoona wewe, hata anavyo hasitate unajua tu kabisa ni mtu anayefikirisha kichwa kutafuta punch lines,Songa ana freestyle???..Mkuu we umeangalia video nyingine ama?
Hiyo ndo flow ya Songa mkuu..Kifupi sijawahi kumuona Songa akifreestyleHiyo hiyo uliyoona wewe, hata anavyo hasitate unajua tu kabisa ni mtu anayefikirisha kichwa kutafuta punch lines,
ila stamina alikuwa anaflow tu alafu ni mistari iliyopangwa kabisa, japo Songa raund ya pili alianza na yy kama pale alipokuwa anaongelea magroup ya whatsapp unajua kabisa ni vitu alishaandika kabla na vipo kichwani..
Inawezekana tunatofautiana katia usikilizaji wa muziki.Hiyo ndo flow ya Songa mkuu..Kifupi sijawahi kumuona Songa akifreestyle
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaa hatari...Verse yangu moja album sita za timbulo
[emoji23][emoji23][emoji23] Mc sifugi ng'ombe ila naishi ubungo maziwa[emoji23]Hahaa sio mtu mzuri huyu stamina....Mi ni nguruwe ninayefugwa nyuma ya msikiti
[emoji23][emoji23][emoji23]Princess inaonekana uko vizuri upstairs