princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
hata songa kaandika ,kama hiyo aliochana mara ya kwanza ni ipo kitamboSonga ana freestyle ila Stamina anaonekana ni mistari ambayo tayari ilishaandaliwa mapema,
Nawakubali wote.
Ila Kwangu mimi Songa kafunika. [emoji119][emoji119][emoji119]
Haujafungwa wewe uufunge kama nani bro?Hakuna freestyle hapo Baba....Huo mjadala tulishaufunga
Kama mm mkuu namkubaligi sana huyu jamaa japo watu wanadisi sana[/QUOTE][QUOT"princess ariana, post: 19981611, member: 381793"]Jamani mimi mwenzenu , sionagi Mc kama stamina[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
namkubali sana et angekua rapper wa kihindi angeimba Kuch kuch[emoji23][emoji23][emoji23]
he's so amaizing
acha tusijue tu...Kwa wasiojua hip hop watamsifia Stamina
....jiangalie wewe.,unajilegeza na 'kuishiwa nguvu kabisa' mbele ya masela wanaojadili hiphop?;Nimekuja mkuku nikijua ni Jo Wilfred Songa mkali wa tennis.
Nimeishiwa nguvu kabisa.
Hahaaaa sina cha kuongeza..Umegonga kwenye pwentiacha tusijue tu...
hatuwezi kusikiliza mistari isiyo na mvuto/ vina vya kushangaza!
hiphop hio vipi?!!!!!
anatema vina miba kama kameza nungunungu!!! mtuache na stamina wetu bwana!!
[emoji23][emoji23] wasituchoshe na songa waoHahaaaa sina cha kuongeza..Umegonga kwenye pwenti
Naona aliamua kubadilika baada ya kuona Stimina anazinguaSonga alikuwa ana free style mwanzoni lakini baadae akazingua. Huyo mfupi ashaandika mistari geto kaja kudownload hapo.