Stamina vs songa..Kuna mtu kakalishwa

Stamina vs songa..Kuna mtu kakalishwa

[QUOT"princess ariana, post: 19981611, member: 381793"]Jamani mimi mwenzenu , sionagi Mc kama stamina[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

namkubali sana et angekua rapper wa kihindi angeimba Kuch kuch[emoji23][emoji23][emoji23]

he's so amaizing[/QUOTE]
Kama mm mkuu namkubaligi sana huyu jamaa japo watu wanadisi sana
 
Songa ana freestyle ila Stamina anaonekana ni mistari ambayo tayari ilishaandaliwa mapema,

Nawakubali wote.

Ila Kwangu mimi Songa kafunika. [emoji119][emoji119][emoji119]
hata songa kaandika ,kama hiyo aliochana mara ya kwanza ni ipo kitambo
 
[QUOT"princess ariana, post: 19981611, member: 381793"]Jamani mimi mwenzenu , sionagi Mc kama stamina[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

namkubali sana et angekua rapper wa kihindi angeimba Kuch kuch[emoji23][emoji23][emoji23]

he's so amaizing
Kama mm mkuu namkubaligi sana huyu jamaa japo watu wanadisi sana[/QUOTE]
mimi huwaga sielewi wanamdiss katika misingi ipi

naishiaga kuwatazama
 
Kwa wasiojua hip hop watamsifia Stamina
acha tusijue tu...
hatuwezi kusikiliza mistari isiyo na mvuto/ vina vya kushangaza!

hiphop hio vipi?!!!!!
anatema vina miba kama kameza nungunungu!!! mtuache na stamina wetu bwana!!
 
hapo songa hakuna freestyle wala nini...
anatetemeka
Mc unaitwaje studio huna mistari ya akiba[emoji23][emoji23]
 
c79220aad9a2b51523a796126b2d4d12.jpg
 
Nimekuja mkuku nikijua ni Jo Wilfred Songa mkali wa tennis.
Nimeishiwa nguvu kabisa.
....jiangalie wewe.,unajilegeza na 'kuishiwa nguvu kabisa' mbele ya masela wanaojadili hiphop?;
...utapasuliwa yai!
 
acha tusijue tu...
hatuwezi kusikiliza mistari isiyo na mvuto/ vina vya kushangaza!

hiphop hio vipi?!!!!!
anatema vina miba kama kameza nungunungu!!! mtuache na stamina wetu bwana!!
Hahaaaa sina cha kuongeza..Umegonga kwenye pwenti
 
Songa alikuwa ana free style mwanzoni lakini baadae akazingua. Huyo mfupi ashaandika mistari geto kaja kudownload hapo.
Naona aliamua kubadilika baada ya kuona Stimina anazingua

By the way tumeambiwa ni Michano101 so sio lazima iwe ni freestyle
 
Back
Top Bottom