Basi... Kama unamponda hadi nikkimbishi, nishajua ww ni Anti-TamaduniChild Benz na Nikki mbishi sasa hivi kwishney madawa and viroba
Kwani ukifreestyle unaimba taarabu?!Hakuna aliye free style hapo wote wamechana
Nimekusoma, ilibidi useme hivi maana ile post nyingine imekaa kitata sana..Naongelea freestyle,Songa na Stamina wameenda na mistari yao kichwani wakati Rozaree na Tami walikua wana freestyle bila ya kuingiza mistari ya nyimbo zao.
Nimekusoma, ilibidi useme hivi maana ile post nyingine imekaa kitata sana..
By the way sijaona mahali wakisema MICHANO 101 ni kwaajili ya MITINDO HURU TU..
Japo Hii Idea wameichukua toka kwa mnyama EMINEM kwenye ile 8miles wao wanaitaga FREESTYLE 101
Hahahahah.. Kwani kipindi kimeanza lini man?Fatilia vipindi vya nyuma ndio utajua kuwa ime base kwenye freestyle,walivyoanza kuleta hao wasanii ndio wameharibu. Kabla ya wasanii kuanza kuja ni watu wa kawaida ndio walikua wana freestyle na walikua wako vizuri sana.
Hahahahah.. Kwani kipindi kimeanza lini man?
Songa na stamina wapo level moja tu...Stamina sio wa kizazi hiki huyu jamaa yuko vizuri songa anaimba kama anafanya interview
Songa na stamina wapo level moja tu...
Tofauti nayoiona songa ana wordplay..uwasilishaji wake ni mzuri saana.
Stamina ni reluctant when come to flow. Yupo pale pale.
Wasikilize kwenye chini ya ulinzi utaelewa. Ila kinachoniumiza artist wote niliokuwa nawafuatilia wamebadilika.
Narudia tena...Stamina sio wa kizazi hiki huyu jamaa yuko vizuri songa anaimba kama anafanya interview
Hahaha... Wapo kwenye stream moja mkuuNarudia tena...
Musimfananishe Songa na mambo ya KIJINGA..!
Mkuu...Hahaha... Wapo kwenye stream moja mkuu
Namjua songa saana.Mkuu...
Bila shaka utakua HAUMJUI Songa..!!!
Safi sana...Namjua songa saana.
Toka anaingia tamaduni hadi leo...labda huko nyuma kabla ya kuja kwa Patrick.
Niite songa mpaka hisia nimeziskia na zote zipo kichwani. Labda stamina maana album yake sijaisikiliza yote.
Godzilla ni zaidi coz sio muoga, anafreestyle popote mda wowote akiambiwa kufanya hivyo, Nikki mkali ila naona hajiamini maana wakati mwingine akiambiwa a freestyle anarap mistari yake aliyoandikaTz sijawahi kuona kama zohan kwenye freestyle..na pia kughani yupo vizuri saana
Hahaha... zilla Mitindo huru yupo ila kwa mbishi nakataa.Godzilla ni zaidi coz sio muoga, anafreestyle popote mda wowote akiambiwa kufanya hivyo, Nikki mkali ila naona hajiamini maana wakati mwingine akiambiwa a freestyle anarap mistari yake aliyoandika
Kabla hajachanganya madude yake kichwani alikuwa freestyler mzuri but sio kwa kiwango cha kina Ngwair,Zilla na ZohanIvi chid beenz naye anaju freestyle kumbe?