Stamina vs songa..Kuna mtu kakalishwa

Stamina vs songa..Kuna mtu kakalishwa

Naongelea freestyle,Songa na Stamina wameenda na mistari yao kichwani wakati Rozaree na Tami walikua wana freestyle bila ya kuingiza mistari ya nyimbo zao.
Nimekusoma, ilibidi useme hivi maana ile post nyingine imekaa kitata sana..

By the way sijaona mahali wakisema MICHANO 101 ni kwaajili ya MITINDO HURU TU..

Japo Hii Idea wameichukua toka kwa mnyama EMINEM kwenye ile 8miles wao wanaitaga FREESTYLE 101
 
Fatilia vipindi vya nyuma ndio utajua kuwa ime base kwenye freestyle,walivyoanza kuleta hao wasanii ndio wameharibu. Kabla ya wasanii kuanza kuja ni watu wa kawaida ndio walikua wana freestyle na walikua wako vizuri sana.
 
Stamina sio wa kizazi hiki huyu jamaa yuko vizuri songa anaimba kama anafanya interview
 
Hahahahah.. Kwani kipindi kimeanza lini man?
 
Stamina sio wa kizazi hiki huyu jamaa yuko vizuri songa anaimba kama anafanya interview
Songa na stamina wapo level moja tu...

Tofauti nayoiona songa ana wordplay..uwasilishaji wake ni mzuri saana.
Stamina ni reluctant when come to flow. Yupo pale pale.

Wasikilize kwenye chini ya ulinzi utaelewa. Ila kinachoniumiza artist wote niliokuwa nawafuatilia wamebadilika.
 
Songa nuksi sana
ana punchlines za uhakika
hiyo nimesahau round ya kwanza tuliza akili utaelewa kaimba nini

stamina nuksi ila hamuwezi songa anaunga sana mistari akiimba kitu hakai kwenye point ya msingi
 
Songa na stamina wapo level moja tu...

Tofauti nayoiona songa ana wordplay..uwasilishaji wake ni mzuri saana.
Stamina ni reluctant when come to flow. Yupo pale pale.

Wasikilize kwenye chini ya ulinzi utaelewa. Ila kinachoniumiza artist wote niliokuwa nawafuatilia wamebadilika.
Stamina sio wa kizazi hiki huyu jamaa yuko vizuri songa anaimba kama anafanya interview
Narudia tena...
Musimfananishe Songa na mambo ya KIJINGA..!
 
Mkuu...
Bila shaka utakua HAUMJUI Songa..!!!
Namjua songa saana.

Toka anaingia tamaduni hadi leo...labda huko nyuma kabla ya kuja kwa Patrick.
Niite songa mpaka hisia nimeziskia na zote zipo kichwani. Labda stamina maana album yake sijaisikiliza yote.
 
Safi sana...
Kama umesikiliza pini zote hizo za SONGA...
Basi naamini ulikua unatania tu kuwaweka SONGA na Stamina kwenye ZIZI moja..!
 
Tz sijawahi kuona kama zohan kwenye freestyle..na pia kughani yupo vizuri saana
Godzilla ni zaidi coz sio muoga, anafreestyle popote mda wowote akiambiwa kufanya hivyo, Nikki mkali ila naona hajiamini maana wakati mwingine akiambiwa a freestyle anarap mistari yake aliyoandika
 
Hahaha... zilla Mitindo huru yupo ila kwa mbishi nakataa.

Rejea mashindano ya clouds au pale British council. (Ushabiki unachangia kutofautiana)
 
Nimecheki video nilichogundua Stamina ameimprove sana kwenye uandishi, ile mistari ya 'George karudi Bush' naona kajitahidi kuiacha, kama ni mechi hapo Songa kakalishwa japo si sana. Hapo MAINSTREAM HIPHOP imeshinda 1-0 dhidi ya UNDERGROUND HIPHOP
 
Back
Top Bottom