Stamina vs songa..Kuna mtu kakalishwa

Hahaha... zilla Mitindo huru yupo ila kwa mbishi nakataa.

Rejea mashindano ya clouds au pale British council. (Ushabiki unachangia kutofautiana)
Usiangalie kwenye tukio 1 tu, angalia idadi ya freestyle alizofanya Zilla vs Zohan, binafsi nimezisikia nyingi za Zilla but za Zohan chache. Nimeshuhudia mara kadhaa Zohan akiwa studio akiambiwa afreestyle anapiga chenga, but Zilla iko kwa blood popote akiambiwa afreestyle hufanya hivyo na yuko vizuri sana
 
Mkuu weka freestyle ya zila aliyofanya vizuri nitaweka ya zohan.

Kuna freestyle 1 ya zohan kachania beat ya dre what the difference between me ni zaidi ya freestyle.

Kuna nyingine akimchana feza kwenye beat sijui ni brain yule high na low ya bou. Ni zaidi ya freestyle. Ukitaka nitaziweka then ulininganishe na zilla.

Zohan toka 2015 kabadilika saana. Zohan wa kipindi hicho anatembea na redio ikipiga beat mist sio wa leo. Jaribu tu kulinganisha track zake za kitambo na za sasa.
Sauti ya jogooo vs kwanini? ?
 
Aisee huyu jamaa noma...hii ndo hasaaa freestyle...idea inatoka hapohapo...anachokiona mbele yake anakizungumzia.
Jamaa ametisha saana mzee
Nimemkumbuka ngweair alikua akiambiwa haya twene vina vya "ti" jamaa anashuka
Akimbiambiwa "o" albert anatiririkaa....haha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…