Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,026
- 1,706
KABSAAA ..Ovaa"Usimfananishe SONGA na VITU vya KIJINGA"
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KABSAAA ..Ovaa"Usimfananishe SONGA na VITU vya KIJINGA"
Usiangalie kwenye tukio 1 tu, angalia idadi ya freestyle alizofanya Zilla vs Zohan, binafsi nimezisikia nyingi za Zilla but za Zohan chache. Nimeshuhudia mara kadhaa Zohan akiwa studio akiambiwa afreestyle anapiga chenga, but Zilla iko kwa blood popote akiambiwa afreestyle hufanya hivyo na yuko vizuri sanaHahaha... zilla Mitindo huru yupo ila kwa mbishi nakataa.
Rejea mashindano ya clouds au pale British council. (Ushabiki unachangia kutofautiana)
Mkuu weka freestyle ya zila aliyofanya vizuri nitaweka ya zohan.Usiangalie kwenye tukio 1 tu, angalia idadi ya freestyle alizofanya Zilla vs Zohan, binafsi nimezisikia nyingi za Zilla but za Zohan chache. Nimeshuhudia mara kadhaa Zohan akiwa studio akiambiwa afreestyle anapiga chenga, but Zilla freestyle iko kwa blood popote akiambiwa kufanya hivyo na yuko vizuri sana
aaah! wap huwez mfananisha songa n stamina kw freestyle , yan tamadun muziki wote n shida.Songa amekalishwa mzee[emoji3][emoji3][emoji3]
pale unapodhani unajua.Kwa wasiojua hip hop watamsifia Stamina
hii ndio freestyle sasa.....
Jamaa ametisha saana mzeeAisee huyu jamaa noma...hii ndo hasaaa freestyle...idea inatoka hapohapo...anachokiona mbele yake anakizungumzia.
Tunajua, sio tunadhani tunajua Stamina anajua.pale unapodhani unajua.
Wenye fani zao hao sio waalikwa penye mitindo huruAisee huyu jamaa noma...hii ndo hasaaa freestyle...idea inatoka hapohapo...anachokiona mbele yake anakizungumzia.
Anajua niniTunajua, sio tunadhani tunajua Stamina anajua.
hii ndio freestyle sasa.....