Stan Bakora aweka kipini kitovuni

Stan Bakora aweka kipini kitovuni

Mchekeshaji Stan Bakora ameingia kwenye trend baada ya kuonekana kwenye video akiwa na Sonara akitoboa kitovu chake na kuweka kipini.

Kitendo hicho kimezua mjadala kwa watumiaji wa mitandao ya kijamii kutokana na utamaduni huo umezoeleka kufanywa na jinsia ya kike.

View attachment 2006582
one man down, wanaume tunazidi kupungua tuu kama ni kweli alikua huko sonara kwa ajili hyo!!
 
Back
Top Bottom