Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Zile audio za comedy zao ntazipata VP?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanastahili pongezi kwa njia ile maana E FM wasingeweza kupenya kwenye tasnia hii,Hahaha hawa hunifanya niisikilize E-FM
Zipo you tubeZile audio za comedy zao ntazipata VP?
Nielekeze jinsi ya kuzipata. YOUTUBE ni videos so nasearch vp?Zipo you tube
Redio uhuru sisi wazee wazamani, siku za j.mosi saa 3:30 usiku kuna muziki mzuri wa kitanzania, mziki wa miaka ya 80 mpaka 90 enzi ya band za legho, uda, DDC mlimani park, bima, tancurt, urafiki, washirika, Mk group, OSS, Juwata, maquis, mwenge jazz. Na band nyingi za wakati huo mziki wake husikika hapa, Alhamis RFA saa 4:00 usiku j.pili E. FM mimi sina mapenzi na Radio nina mapenzi na vipindi nasikitika Radio One sijui wamefanyaje siwapati vizuri kwenye radio ingawa wapo.Wanastahili pongezi kwa njia ile maana E FM wasingeweza kupenya kwenye tasnia hii,
kama ni Muziki kila radio inajitahidi kupiga Muziki mzuri hata Uhuru wanapiga mziki mzuri ila hawana wasikilizaji kabisa ingawa mi sisikilizagi ila nikikumbuka mwanzoni E FM wanaaanza walikuwa wanaweka vichekesho kila baada ya kupiga nyimbo kadhaa kwahio sisi wasikilizaji tukawa tunatega sikio kuwasikiliza hawa jamaa tu.
Radio one kuanzia jumatatu had alihamis saa nne usiku ni ngoma za zamani tu..... Wametufukuza sisi wapenz wa chombeza time,,, maana mziki wa chombeza time ni mzito hamna radio ingine inapiga mziki huoRedio uhuru sisi wazee wazamani, siku za j.mosi saa 3:30 usiku kuna muziki mzuri wa kitanzania, mziki wa miaka ya 80 mpaka 90 enzi ya band za legho, uda, DDC mlimani park, bima, tancurt, urafiki, washirika, Mk group, OSS, Juwata, maquis, mwenge jazz. Na band nyingi za wakati huo mziki wake husikika hapa, Alhamis RFA saa 4:00 usiku j.pili E. FM mimi sina mapenzi na Radio nina mapenzi na vipindi nasikitika Radio One sijui wamefanyaje siwapati vizuri kwenye radio ingawa wapo.
Sio kweli Bwakila yupo ila Mkude simba ndio Kitale.Bwakila na Mkude Simba ni mtu mmoja ambaye ni Kitale
Anzisha thread mkuu!Hawa ndoo waliopaisha E FM
Sorry kwa kutoka nje ya mada .
Wapo vizuri , wabunifu