Mkuu heshima!Nina wasiwasi kidogo hakuna fedha rahisi kiasi hichoWAKUU kweli sisi ni NDUGU na tunaishi kama famila? Mbona hatuambiani madili kama haya. Inasemekana haitaji uwe na kiwanja au dhamana yoyote ni wewe na simu yako tu. Unavuta hadi milioni Tano, Na watu hata hamsemi imenisikitisha sana. Acheni roho mbaya tupeni utaratibu.
Kwishaaaaa
Muone Melo kwa malipo ya Tangazo!!WAKUU kweli sisi ni NDUGU na tunaishi kama famila? Mbona hatuambiani madili kama haya. Inasemekana haitaji uwe na kiwanja au dhamana yoyote ni wewe na simu yako tu. Unavuta hadi milioni Tano, Na watu hata hamsemi imenisikitisha sana. Acheni roho mbaya tupeni utaratibu.
Kwishaaaaa
Stanbic wapo very smart kwenye mambo ya pesa,ni kweli sidhani kama.kuna hela ya rahisi kama.wajumbe wanavyodhaniMkuu heshima!Nina wasiwasi kidogo hakuna fedha rahisi kiasi hicho
Thamani ya kitu kisichohamishika chenye thamani isiyopungua 65% ya mkopo unaochukua elewa 65% tena hapo nimekupunguzia sanaBenki za Tanzania bila dhamana ya kuaminika hata buku jero huwezi kukopeshwa.
Labda kama na wao wamejiunga kwenye ile mikopo ya kitapeli ya mitandaoni ambayo mwisho wake ni mauti kwa mkopaji
Mkuu umenikumbusha mbali SANA Bro Alex on la beats yooow jah iz really. nilipigwa biti ETI hamni elewi NIACHE utoto nilipo ona wanani kosea heshima nika ona niepushe ban maana ilifika hatua nikajaa sumu.Bro Alex on de beat
Wasamehe tu bro alex on de beatMkuu umenikumbusha mbali SANA Bro Alex on la beats yooow jah iz really. nilipigwa biti ETI hamni elewi NIACHE utoto nilipo ona wanani kosea heshima nika ona niepushe ban maana ilifika hatua nikajaa sumu.
Kwishaaaaaaa
Wewe mpaka muda huu umeishajuwa tayari umevuta?WAKUU kweli sisi ni NDUGU na tunaishi kama famila? Mbona hatuambiani madili kama haya. Inasemekana haitaji uwe na kiwanja au dhamana yoyote ni wewe na simu yako tu. Unavuta hadi milioni Tano, Na watu hata hamsemi imenisikitisha sana. Acheni roho mbaya tupeni utaratibu.
Kwishaaaaa
NDUGU YANGU @ MENEMENE TEKERI NA PERESI nisha wasamehe mkuu, uhuru wakuchangia wanao usema, napata mashaka nao, kama huja tukana MTU, ni JAMBO TU linalokufurahisha, MTU ANACHUKIA bila SABABU. Tunge KUWA tunaonana nazani tungepangiana HADI, kuchomekea kuvaa shati la mikono mirefu kuvaa kiatu cheusi NDO uchangie mada daahWasamehe tu bro alex on de beat