Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Makato yao ni elfu tatu kwa mwezi sawa, Sasa iweje tena akiba yangu ya kulinda account ikatwe wakati nimeshakatwa tozo hiyo?!Wajiendeshe vipi bila hizo buku tatu tatu zenu
Kwani ukiamua kufunga account utakuwa na uwezo wa kuchukua pesa yako yote itakayokuwepo kwenye account yako muda huo?!! Jibu haiwezekani , huo ni utaratibu wa bank zote, kwani unaposikia bank charges huwa unafikiria ni nini?kama unaona wanakudhurumu kaweke nyumbani tu!!vitu vingine jamani!!kama unakwenda tu kuomba mkopo kwenye taasisi yoyote ile lakini humo humo ndani ya mkopo utakutana na gharama za kuushughurikia mkopo huo!!sembuse kukutunzia pesa!!Makato yao ni elfu tatu kwa mwezi sawa, Sasa iweje tena akiba yangu ya kulinda account ikatwe wakati nimeshakatwa tozo hiyo?!
Huo ni wizi kwa maana inafanya kinyume na maelezo walotupatia wakati tunafungua a/c. "Inunue kweli wala usiiuze" 23:23 Mithali. Mizani ya hila na udanganyifu.Kwani ukiamua kufunga account utakuwa na uwezo wa kuchukua pesa yako yote itakayokuwepo kwenye account yako muda huo?!! Jibu haiwezekani , huo ni utaratibu wa bank zote, kwani unaposikia bank charges huwa unafikiria ni nini?kama unaona wanakudhurumu kaweke nyumbani tu!!vitu vingine jamani!!kama unakwenda tu kuomba mkopo kwenye taasisi yoyote ile lakini humo humo ndani ya mkopo utakutana na gharama za kuushughurikia mkopo huo!!sembuse kukutunzia pesa!!
Ndiyo, Ni zaidi ya uswahili ni wapigaji sana. Uache elfu 5 wanapiga, Uache elfu 2 au elfu 3 wanapiga.Kumbe wana uswahili!
Kachukue bank statement yko utaona imekatwa wapiUkipiga namba yao ya huduma kwa wateja ukawabana sana kwamba kulikuwa na kiasi fulani kwenye a/c yangu, Je, Kimeenda wapi mbona hakimwo?! Wanakukatia simu hupewi mrejesho sahihi jinsi kiasi hicho kilivyokatwa.
Nashukuru sana, mkuu! Na bahati nzuri kwenye ufuatiliaji huwa sifanyi uzembe, Nitaenda nao sawa.Kachukue bank statement yko utaona imekatwa wapi
Waje watoe maelezo yanakinifu, Tofauti na hapo kazi itaendelea vibaya kwao.Wanakuja wamesikia
KAZI IENDELEE!
Taifa letu nalo liwe Port Elizabeth?!.Kwani Jiwe anasemaje kuhusu hili?
Nchi hii ukiwa mlipa kodi mzuri unaweza kuwageuza wakaji(wateja) kadri upendavyo.