Stand United Haina Wema!

Stand United Haina Wema!

Aman peaceful

Member
Joined
Mar 2, 2018
Posts
89
Reaction score
63
Wakuu..
Hata kama mpira una Matokeo matatu yaani: Kushinda, kudroo na vilevile kufungwa; Lakin kwa walichokifanya Stand Taifa jana ni Hatari kwa Afya zetu WanaSimba katika Mbio za Ubingwa!
Stand Mmetutoa Chambo! Mungu Anawaona!..
 
Jana wangejiamini na kushambulia ilikuwa siku yao kabisa
 
Tatizo jana simba tulikuwa kwenye uwanja mbovu afu vile vile magor ya stand yote yalikuwa ya kuotea lazima twende fifa tukashitak

Uwanja wa taifa siku hiz una makorongo sana hivyo mastaa wetu walishindwa kupiga boll fresh
 
Hahaaaaaaaaaa mkuu hauna wema!
 
Hahahahaaaa sio hivyo mkuu tunaenda kushitak fifa kuna mchezaji wa stand alikuwa na kad nyekundu lakin kachezeshwa
Aah FIFA nao walewale tu Rufaa zetu mwisho kwenye Dustbin! Anyways, Mwaka wetu huu mtani!
 
Wanafiki tu nyie wote sasa sare ndo mnakuwa na kelele hivyo je angefungwa.Mpira sikuuona but ilivyovuma nikajua simba kafungwa.Huu ni upumbavu grade one.Timu inaendelea vizuri.Hayo ni matokeo ya kawaida tu.
 
ujue wanaovumisha mkuu ni hawa wa kijani!
 
Tatizo jana simba tulikuwa kwenye uwanja mbovu afu vile vile magor ya stand yote yalikuwa ya kuotea lazima twende fifa tukashitak

Uwanja wa taifa siku hiz una makorongo sana hivyo mastaa wetu walishindwa kupiga boll fresh
Lakini na hao stand united si na wao walikua wana tumia huo huo uwanja? Au wao walikua wanashambulia kutoka kwenye uwanja mwingine usiokua na makorongo? teh! teh! Poleni sana wana Simba.
 
Back
Top Bottom