Aman peaceful
Member
- Mar 2, 2018
- 89
- 63
Jana wangejiamini na kushambulia ilikuwa siku yao kabisaWakuu..
Hata kama mpira una Matokeo matatu yaani: Kushinda, kudroo na vilevile kufungwa; Lakin kwa walichokifanya Stand Taifa jana ni Hatari kwa Afya zetu WanaSimba katika Mbio za Ubingwa!
Stand Mmetutoa Chambo! Mungu Anawaona!..
Kabisa mkuu! walishindwa wenyewe tu yaani.Jana wangejiamini na kushambulia ilikuwa siku yao kabisa
Asante Mtani! Manula sio kwa kupigwa Kamba Ile duuuuuh!Manula kalalia Diclopa jana!
Sio kwa kuning'inizwa kule! poleni Watani
Hahaaaaaaaaaa mkuu hauna wema!Tatizo jana simba tulikuwa kwenye uwanja mbovu afu vile vile magor ya stand yote yalikuwa ya kuotea lazima twende fifa tukashitak
Uwanja wa taifa siku hiz una makorongo sana hivyo mastaa wetu walishindwa kupiga boll fresh
Hahahahaaaa sio hivyo mkuu tunaenda kushitak fifa kuna mchezaji wa stand alikuwa na kad nyekundu lakin kachezeshwaHahaaaaaaaaaa mkuu hauna wema!
Aah FIFA nao walewale tu Rufaa zetu mwisho kwenye Dustbin! Anyways, Mwaka wetu huu mtani!Hahahahaaaa sio hivyo mkuu tunaenda kushitak fifa kuna mchezaji wa stand alikuwa na kad nyekundu lakin kachezeshwa
hahaaaa tisha sana mkuuNijuavyo mimi leo ni tarehe Simba/Stand/2018
Natumai supa Coach Irambona atakua kaona pa kurekebisha mkuu!Manula ni shati, mabeki wenu walipotea, uyo kwasi alikuwa anapanda kutafuta goli ili asifiwe
ujue wanaovumisha mkuu ni hawa wa kijani!Wanafiki tu nyie wote sasa sare ndo mnakuwa na kelele hivyo je angefungwa.Mpira sikuuona but ilivyovuma nikajua simba kafungwa.Huu ni upumbavu grade one.Timu inaendelea vizuri.Hayo ni matokeo ya kawaida tu.
Hhhhhhhhhh!Nijuavyo mimi leo ni tarehe Simba/Stand/2018
Lakini na hao stand united si na wao walikua wana tumia huo huo uwanja? Au wao walikua wanashambulia kutoka kwenye uwanja mwingine usiokua na makorongo? teh! teh! Poleni sana wana Simba.Tatizo jana simba tulikuwa kwenye uwanja mbovu afu vile vile magor ya stand yote yalikuwa ya kuotea lazima twende fifa tukashitak
Uwanja wa taifa siku hiz una makorongo sana hivyo mastaa wetu walishindwa kupiga boll fresh