Stand United kutaja "Wasiojulika" waliomteka Mo

Kizibo255

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
515
Reaction score
376
Timu ya Simba sc imepania kuiadabisha Stand United kwa kinachoelezwa ni FURAHA iliyotokana kupatikana kwa boss wa timu hiyo Mo hivyo watalazimika kumpoza na kumfariji kwa ushindi mnonoooo. Wakati huohuoSimba wataiadhibu vikali Stand kwakuwa mpk sasa watekaji wa Mo hawajaonekana. Time will tell
 
Ingekuwa mdomo ndio unacheza mngekuwa mmeshakabidhiwa ndoo ya TPL wakuu!
 
Mimi na ligi yetu ya bongo mbali mbali, nilishaona huu ujinga tu...eti timu mbili tu simba na yanga....upumbavu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…