Timu ya Simba sc imepania kuiadabisha Stand United kwa kinachoelezwa ni FURAHA iliyotokana kupatikana kwa boss wa timu hiyo Mo hivyo watalazimika kumpoza na kumfariji kwa ushindi mnonoooo. Wakati huohuoSimba wataiadhibu vikali Stand kwakuwa mpk sasa watekaji wa Mo hawajaonekana. Time will tell