pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Najaribu kuangalia Sanaa ya uchekeshaji jinsi inavyopata umaarufu, ni kitu kizuri sana ila sasa binafsi nakwazika namna ambavyo dini ama imani fulani zinavyotumika katika kuchekesha na mbaya zaidi ni kwamba dini inayotumika ni moja sijui kwa nini hawatumii ile dini nyingine kwanza ni kinyume cha sheria Blasphemy wachekeshaji msitumie dini tafadhali tumieni hata siasa na vitu vingine naomba kuwasilisha