hooligan01
JF-Expert Member
- Nov 21, 2013
- 664
- 539
huyu mwingine anatoka Africa kusiniNi kweli stand up comedy inaitaji akili sana hasa kama wasikilizaji wako ni watu waliopata elimu nzuri.
Kumchekesha mtu mwenye upeo mkubwa ni kazi ngumu sana.
Sasa wachekeshaji wa bongo elimu hakuna aina ya vichekesho ni vile vile ambovyo ulishakutana navyo kwenye mtandao au uliwahi sikia wakati wa utoto wako
That's trevor noah..namkubali sana. Jamaa ana host kipindi flani cha comedy central kinaitwa the daily show. Nimeshangaa na idris nae kaanzisha kipindi chake kama hiki uko youtube, kinaitwa mtazamo.huyu mwingine anatoka Africa kusini
Kuna jamaa mwingine anaitwa john Olivier japo sio mwafrika ila ana kipindi kama cha trevoh Noah kinaitwa "last week tonight" nafkiri idris alitaka kuwaiga hawa watu wawili.That's trevor noah..namkubali sana. Jamaa ana host kipindi flani cha comedy central kinaitwa the daily show. Nimeshangaa na idris nae kaanzisha kipindi chake kama hiki uko youtube, kinaitwa mtazamo.
Well idris, am sorry to say this "you're not funny at all".
Kuna kingine kinaitwa late night: a closer look ana host jamaa anaitwa seth meyers. Hawa ndo comedians aiseeKuna jamaa mwingine anaitwa john Olivier japo sio mwafrika ila ana kipindi kama cha trevoh Noah kinaitwa "last week tonight" nafkiri idris alitaka kuwaiga hawa watu wawili.
Anasema Reiiiii...mzee wa miwooora.Joti.... Anachekesha sana
Mbona mara nyingi anavaa kama babu kizee?Joti mpaka avae kama mwanamke?
Ni kweli lakini ila stand up comedian wakali hawaitaji mavazi au muonekano yamchekeshe mtuMbona mara nyingi anavaa kama babu kizee?
Hapana sijawahi na wala nilikua sifahamu kama hua anafanya showsMkuu umeshawahi kuudhuria show zake? Achana na vi clip vile vya minibuz