Stand up comedy: Kenya kuna Eric Omondi, Uganda kuna Kansiime na Bongo kuna nani?

Ukiona chaelea, kimeundwa. Omondi na wengine wengi ni product ya Churchill Show kipindi cha uchekeshaji Kenya kupitia NTV KENYA. Wapo wengi wazuri hata kumshinda. Kansiime Naye ana kipindi chake cha uchekeshaji. Gwinji wao ni Churchill mwenyewe, King'ang'i. Bongo vipi?
 
Kumbe aliiga!?
Makubwa!
 
Kuna jamaa mwingine anaitwa john Olivier japo sio mwafrika ila ana kipindi kama cha trevoh Noah kinaitwa "last week tonight" nafkiri idris alitaka kuwaiga hawa watu wawili.
Idris kipindi cha mtazamo wala hakichekeshi jamaa sio comedian.
 
Veeeere True aisee we jaribu kuangalia Wakenya kweny Comedy Drama yao inaitwa The real Househelps of Kawangware On DSTV Chanel 158 or on YouTube
 
Mie nafanya stand up comedy
Nina jokes nyingi sana ila sijapata wa kunisapoti
Ni kijana wa chuo mwaka wa kwanza
Kama unataka kunizamini kamwe utojutia
Nizamini nina uwezo ila nafasi sijapata
Nilifanya siku moja tuu chuoni ndipo nikaona kweli Nina kitu created kwangu
Nahitaji wa kunishika mkono ili tufurahie
Nipo serious
Najifunza kila siku
Nipo na creativity mpya
Please kama unataka kufanya biashara hii njoo unisapoti mdogo wako
Nina imani hautojuta kunisapoti
Nitawazidi wote hata walionitangulia
Naomba ujaribu siku moja kwenye part yeyote nifanye hata bure uone
Nikikosea niache
Niite hata bure nitafanya stand up comedy
Utaipenda hakika
Nipo na vitu vingi naona kama nachelewa vile
Sina mzamini
.Asante.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa bongo stand up commedy wenye uwezo mzuri ni Mpoki na Masanja....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…