Standing Orders For the Public Service, 2009!

Standing Orders For the Public Service, 2009!

Buchanan

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2009
Posts
13,192
Reaction score
1,972
WanaJF, nimetafuta soft copy ya Kanuni za Kudumu kwa Utumishi wa Umma, 2009 (Standing Orders For the Public Service, 2009) bila mafanikio. Kama kuna mtu anayo naomba msaada aiweke hapa pls!
 
Learned bros and sisters bado kutembelea mitaa hii?
 
Tupo pamoja nawe ile nami mweupe, yaani sijui pa kuzipata hii ndio habari ya ofisi ya bi ghasia kwenye website yao hakuna?
 
Tupo pamoja nawe ile nami mweupe, yaani sijui pa kuzipata hii ndio habari ya ofisi ya bi ghasia kwenye website yao hakuna?

Nimeitafuta kwenye tovuti ya Menejimenti ya Utumishi wa Umma sijaipata!
 
Wadau thread msg iliwekwa muda mrefu. Kama hii soft copy ipo naitafuta sana
 
<br />
<br />
Chonde chonde mkuu inaitajika kama mapinduzi Tanzania 2015 weka namba yako nitakufuta mkuu okoa jahazi
Ninayo pia. Gharimia photocopy na gharama za kukutumia nitakusaidia instantly! Ni PM kama unahitaji maana huwa siji huku kwenye jukwaa hili mara kwa mara
 
standing order ni kama nyaraka za serikali mm nilishawahi kwenda wizara ya utumishi nikaambulia patupu nilijibiwa niende maktaba yao nikaenda nikakuta inauzwa tshs 25000 bado nikaambiwa kopi walizotoa zimeisha nisubiri kama baada ya wiki moja hivi nikaona uzushi kwanza mtu mwenyewe nakaa mkoani ikabidi nisepe!
 
regulation
zake mkuu 2003

Mkuu hizi Standing Orders zenyewe ni "Regulations," kwa kuwa zimetengenezwa "Pursuant to S.35 (5) of the Public Service Act, Cap.298," sasa itakuwaje na "Regulation zake?" Anyway, tofautisha Public Service Regulations, 2003 na Standing Orders, 2009.
 
Nime-attach sheria zote mbili za ardhi. Kwa maana sikuweza kufahamu unataka sheria ipi ya ardhi.

Hongera kijana,nisaidie na mimi ninashida ya circolar ya maji vp nitaipata? nisaidieni jamani
 
Back
Top Bottom