Star kama Diamond kumnunulia Demu Ki RAV4 unajishusha viwango

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu?

unamshusha viwango Hamissa
 
Ukubwa au udogo wa zawadi inategemea na anayepewa....

Leo hii wewe kumpa RAV4 Ebitoke ni kubwa sana ukilinganisha na hiyo hiyo RAV4 kumpa Zari

Kwa Hamisa kupewa RAV4 ni sawa tu
 
Ukubwa au udogo wa zawadi inategemea na anayepewa....

Leo hii wewe kumpa RAV4 Ebitoke ni kubwa sana ukilinganisha na hiyo hiyo RAV4 kumpa Zari

Kwa Hamisa kupewa RAV4 ni sawa tu

Kumbuka Hamissa naye ni Star, na mbali ya ustar pia ni mama watoto wake, sasa kwa MTU kama Dojo anayetamba kuwa ana mapesa iweje atoe ki Rav4?
 
Kumbuka Hamissa naye ni Star, na mbali ya ustar pia ni mama watoto wake, sasa kwa MTU kama Dojo anayetamba kuwa ana mapesa iweje atoe ki Rav4?
JIULIZE...
1. Alipewa RAV4 kwa sababu ya kitu gani? Ustaa wake au mtoto?

2. Jua yule ki nyumba ndogo, usilisahau hilo

3. Amepewa RAV4 na laki 5 kwa wiki... Awe na shukrani..

4. Amefanyiwa hayo yote lakini amekuwa akichafua hali ya hewa kila kulicha.

BY THE WAY, WE MWANAMKE WAKO UMEMPA GARI GANI?
 
Diih rav 4 nayo haitoshi.? Kwa ukubwa gani alonao Hamisa.? 70000 kila siku bado akapewa mil 7 bado rav 4 juu.. Sijui ulitaka apeleke matako yake ndio ujue alijitoa sana.?
 
Ha ha haaaa
Basi angemnunulia ki ist nafikiri kinaitwa hivyo kama sijakosea.. maaana hata hiyo rav4 sio thamani yake eeeeh
 
Diih rav 4 nayo haitoshi.? Kwa ukubwa gani alonao Hamisa.? 70000 kila siku bado akapewa mil 7 bado rav 4 juu.. Sijui ulitaka apeleke matako yake ndio ujue alijitoa sana.?

Hakuna mwenye uhakika na hizo elfu sabini za Lila siku! mtu ameshindwa kununua gari yenye hadhi ataweza kutoa hela hiyo
 
Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu?

unamshusha viwango Hamissa
Ana viwango gani wakati akili kichwani hamna, to be a real woman is more than possessing only a v'
 
RAV 4 MPYA MILLION 25,JIULIZE 25M INANUNUA GARI NYINGI TU ZA MAANA.KUKAA KWAKO HUKU KIJIJINI HUYAJUA YA MJINI.
Hapo unapata ist mbili nzur kabisa.Unapata baadhi ya BMW,unapata Nissani Murano na unapata Mark X mubashara kabisa.
ACHA WIVU WA KIKE
 
Mimi demu wako siwezi kumuhonga hata hela ya pedi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…