PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Demu wako sidhani kama brazia ya elfu 10 keshapata.
Demu wenyewe ampate wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Demu wako sidhani kama brazia ya elfu 10 keshapata.
Demu wenyewe ampate wapi?
Majizo alivyomzalisha Mobeto mtoto wa kwanza alimpa nini??Kumbuka Hamissa naye ni Star, na mbali ya ustar pia ni mama watoto wake, sasa kwa MTU kama Dojo anayetamba kuwa ana mapesa iweje atoe ki Rav4?
Kama kama, keshamaliza kujichua anakuja kuharibu hali ya hewa.Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu?
unamshusha viwango Hamissa
Wewe mademu zako huwa unawahonga nini?Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu?
unamshusha viwango Hamissa