Star kama Diamond kumnunulia Demu Ki RAV4 unajishusha viwango

Diamond amewazoesha vibaya na ndio maana yule aliezaa na Kamanda 2proud (Sugu)analeta vibweka ili na yeye anunulie!
 
Mkuu RAV4 kama hiyo $61,000.
We unaona ni ya kishamba.

Weka hiyo yako tuona.
 
Kweli kazingua! mi pamoja na umaskini demu wangu nilimpa prado mpyaa na hakunizalia mtoto wala nn
 
Hakuna mwenye uhakika na hizo elfu sabini za Lila siku! mtu ameshindwa kununua gari yenye hadhi ataweza kutoa hela hiyo
Mkuu Hamisa ana hadhi gani na wakati ni mchepuko tu yule.!! Kwa mahesabu ya haraka imetoka zaidi ya Mil 45 mpaka anajifungua. Lakini bado haimtoshi hiyo pesa. Aseeeeh kuna binadamu hata uwafanyie nn hawakuja kuridhika. Bora Diamond angefanya hivi tu
 
Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu?

unamshusha viwango Hamissa
We na wee hujielew eti kamshusha hamisa,..kwa ustaa upi yy mwenyewe pale alipo kashindwa kumiliki gari ya mil 25...afadhali ingekua labda kampa rav 4 mtu kama zari ivi au akothee wa kenya ni madem ambao ni class kwa maan wanapesa na wana magari ya gharama.....yule rav4 inamtosha kabisa maan hajawai ata miliki
 
Ndo hadhi ya mchepuko,single mom hiyo.
 
Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu?

unamshusha viwango Hamissa
Mawazo mgando kweli mawazo yako yakijinga kweli, huyo mobeto anahongwa amefanya kazi gani. Mawazo ya kijingajinga mshaulini aanze kujenga viwanda siyo kuhonga. Ndiyo mawazo yako yaliyokujaa huyo Diamond hana hata mfano wa kiwanda hata cha kutotolesha vifaranga. Mnawaona hao akina Dewji watoto wanazungumzia mabilioni amepata nafasi ya kutengeneza mtaji. Kazi ya kumhimiza kuhonga tu fara fara jinga type eti rav 4 haa
 

Huyo domo mnampandisha viwango tu ila hana uwezo Wa kugharamia kiasi hicho
 
Anayeiponda RAY 4 babaake hajawahi kumiliki hata Bajaj.

Hahahaha! ukiona mtu anaiponda RAV4 ujue hadhi yake siyo ya Rav4 tena! Nadhani hapo wewe unaona Hamissa kapata bahati ila sisi tunacheka tu maana hiyo siyo gari ya kumpa mtu harafu ukajitangaza kwenye vyombo vya habari tena mbaya zaidi uliyempa umezaa naye na isitoshe wewe no mtu maarufu kitaifa na kimataifa
 
Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu?

unamshusha viwango Hamissa
Amemshusha viwango Hamisa???
Kwa taarifa yako huwezi mshusha viwango mtu ambaye hana kiwango.
 


Gari ni usafiri tu, mara nyingi watu msiokuwa hata na baiskeli mnapenda kujikweza humu JF.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…