Star kama Diamond kumnunulia Demu Ki RAV4 unajishusha viwango

Kumbuka Hamissa naye ni Star, na mbali ya ustar pia ni mama watoto wake, sasa kwa MTU kama Dojo anayetamba kuwa ana mapesa iweje atoe ki Rav4?
Majizo alivyomzalisha Mobeto mtoto wa kwanza alimpa nini??
 
Ni sahihi lazma umnunulie kitu ambacho huyo mtu ataweza kukimudi.
 
Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu?

unamshusha viwango Hamissa
Kama kama, keshamaliza kujichua anakuja kuharibu hali ya hewa.
 
Diamond alisikika akijinadi kuwa alimnunulia Hamisa Mobetto gari aina ya RAV4!! Hii inashangaza! kweli star kama Domo ni Wa kumununulia Demu Ki Rav4 harafu ujigambe mbele ya watu?

unamshusha viwango Hamissa
Wewe mademu zako huwa unawahonga nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…