Star Lulu atoa salamu za mwaka mpya

Star Lulu atoa salamu za mwaka mpya

Ningependa hiyo sehemu nyeupe kwenye picha ake iwe avatar yangu mpya. mambo ya kindege kudonoadonoa hewa haipo kwenye fasheni ya J F.Nifanyeje?
 
aka kabinti kananipa hamu ya kuwowa wajameni uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!
Nani anakabanjua haka katoto? naona kameshatangaza biashara.......kanaonekana kanafaafaa!!

"Mwaka 2011 ulikuwa wa misukosuko hasa baada ya kutimiza miaka 18, I am grown up and have my own life, I wish to do more in movies and have loads of fans and here is my new look...."
 
Nenda kasome lulu,sanaa kwa umri kama wako c nzur kwan muda hu ulstahl uwe unapiga kitabu,educaton first
 
Back
Top Bottom