Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya mavijana ya siku hizi lege lege maseng.e maseng.e sana, toto la kiume kabisa linatokeza public lalamika kuhusu ndoa.. pumbavu kabisa.. kama unashindwa mtunza mwanamke na kumlea lazima ndoa ikushindwe .. shida hata ma vijana yanataka kuishi na wanawake badala ya kuwalea na kuwatunza..Huyu ilitakiwa awe mume wa nick bhana..😎
Mtoto wao ndio huyo wamepiga nae picha?Safaree mwanamuziki maarufu wa hip hop Marekani ameibuka kusema kuwa moja ya makosa makubwa aliyowahi kuyafanya katika maisha yake ni kuingia kwenye ndoa, amesema haitatokea yeye kuoa tena na kwasasa ameamua kuchukua njia yake kabla hajaishia jela
Safaree alimuoa mrembo Erica Mena pichani mwishoni mwa 2019 na wamepata mtoto mmoja
Kabla, Safaree aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Nicki Minaj kwa miaka kadhaa
View attachment 1710429