Star mkubwa Marekani (Safaree) ajuta kuingia kwenye ndoa

Kaumbwa kanafki kweli..kalivojikausha utafikiri akahusiki kwenye huo mgogoro wa ndoa.
 
Huyu ilitakiwa awe mume wa nick bhana..😎
Haya mavijana ya siku hizi lege lege maseng.e maseng.e sana, toto la kiume kabisa linatokeza public lalamika kuhusu ndoa.. pumbavu kabisa.. kama unashindwa mtunza mwanamke na kumlea lazima ndoa ikushindwe .. shida hata ma vijana yanataka kuishi na wanawake badala ya kuwalea na kuwatunza..
 
Mtoto wao ndio huyo wamepiga nae picha?
 
Vijana wa sa hv mayai mayai Sana , alaf wamekuta kwao zipo , hata wanawake wenye mafanikio wanawashobokea ..ukipiga mahesabu uoe, uanze kuhudumia mke , mara akuzingue ...wakat huko nje unaweza kulelewa na wadada kibao ooh lazima uamshe ......na ukishapata watoto watatu ndo basi tena kazi yako inakuwa kulea Tu ...ukufikilia Kwa undani ndoa chenga Sana , very stressful...wazungu kufanya ndoa za mikataba sio mazwazwa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…