Davies_007
Member
- Apr 22, 2010
- 59
- 0
Pole!
Tumeshagundua janja yenu, hamtaweza tena!
zile chanel ambazo nilikuwa nazipata kwenye star times kwa kuningiza namba 698 zimepotea uchakachuaji uko vipi hapo?
michanel Mibovu, movie za kizamani ule ni wizi na ufisadi Mtupu, kama wewe ni Mdau wa STAR TIME naomba nikwambie dikoda zenu tunazitupa mtaangalia wenyewe, ule ni wizi
na vingamuzi vyenu tunatupa jalalani.
bora mngeziacha coz michanel yote ya star time ni mibaya afadhari ya TING kidogo inavutia,
Pole!
Tumeshagundua janja yenu, hamtaweza tena!
Mkubwa naomba namba za kuchakachua nitumie kwny pm hawa majamaa wasiione.