Star times ndio king'amuzi chenye watumiaji wengi nchini

Sta times,


Halafu waweke radio za Tz,wengine kichina hatuelewi,
 
Huyo Agape atakua na waumini wake tu...

Anyway naona maendeleo ama kweli Tanzania ya mama Samia ina ng'ara ng'ara maana kuwa na raia 3M plus wenye TV ni maendeleo.
Siyo kweli kuna watu kwenye kaya yake ana ving'amuzi 2...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…