KAYABOMBICHI
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 296
- 142
Mkuu hata taarifa ya habari inatakiwa walipwe?MKUU MI NAHISI WATU WANACHANGANYA MAMBO, STAR TV WALE WANARUSHA MIKUTANO NAHISI KWA KULIPWA NA SIO BURE
Au kama ni bure basi hawafanyi vizuri
Mkuu tunaongelea taarifa ya habari ya saa mbili na sio live zingineMKUU MI NAHISI WATU WANACHANGANYA MAMBO, STAR TV WALE WANARUSHA MIKUTANO NAHISI KWA KULIPWA NA SIO BURE
Au kama ni bure basi hawafanyi vizuri
Mkuu hata taarifa ya habari inatakiwa walipwe?
Wataelewa baada ya uchaguzi. Nakumbuka uchaguzi uliopi
Baada ya uchaguzi ndio watatenda haki. Nakumbuka uchaguzi uliopita walikua wakionesha mikutano ya mgombea fulani mwanzo mwisho. Baadae naona walijitenga kanakwamba hakuendana na kasi hivyo naona waachwetu nimuda kidogo watajirudi
Waliomfikisha hapo ni haohao kwanini asijifunze kwa ITVKwanza unatakiwa ujue, mmiliki wa hiyo media ni mwanaccm damu, then tambua hawawezi kushadidia chama tofauti na alicho mmiliki na mwisho media inapumulia mashine haina pesa so mpaka hapo unaweza kupata picha.
Alikuwa anaweza kujifunza ila amechelewa ndiyo maana hana watangazaji wamemkimbia, unakuta mtangazaji mmoja anarudia vipindi zaidi ya vitani (5) kwa siku.Waliomfikisha hapo ni haohao kwanini asijifunze kwa ITV
Watavuna wanachopandaKuelekea uchaguzi mkuu nimekua nikifuatilia matangazo ya taarifa za habari kwa vituo vyote vya Tv za hapa nyumbani nakushangazwa na kituo cha television cha Star tv cha jijini Mwanza kimekuwa na taarifa za upande mmoja zaidi kwa kuonyesha zaidi mikutano ya CCM lakini CHADEMA hawaoneshi kabisa labda litokee tukio negative kwao hii sii sawa kabisa nyinyi ni jicho la wananchi jifunzeni kwa ITV wako vizuri kwa kuonyesha kwa usawa kabisa vinginevyo mtapoteza mvuto kabisaaaa!!
Mmiliki wa Star Tv Anthony Dialo anaipendelea CCM akilenga kukumbukwa kuteuliwa kwenye uteuzi wa viti 10 maalum vya ubungeView attachment 1608160
Anaitwa Anthony Mwandu Diallo, mwanachama wa CCM na mmiliki vituo kadhaa vya redio na television ikiwemo StarTV