Uchaguzi 2020 Star TV hamvitendei haki Vyama vya Upinzani kuelekea Uchaguzi Mkuu

Mmiliki wa Star Tv Anthony Dialo anaipendelea CCM akilenga kukumbukwa kuteuliwa kwenye uteuzi wa viti 10 maalum vya ubunge
Kwa akili zako ndogo ulitaka aipendelee chadema πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
MKUU MI NAHISI WATU WANACHANGANYA MAMBO, STAR TV WALE WANARUSHA MIKUTANO NAHISI KWA KULIPWA NA SIO BURE
Au kama ni bure basi hawafanyi vizuri

..masuala ya KITAIFA kama uchaguzi mkuu yanatakiwa yatangazwe bila malipo.
 
Vyombo vya habari kama hivi ni vya kuvionea huruma, havina tofauti na wanaccm wanaovaa nguo za kijani kwasababu ya matumbo yao.
 
Star TV ni Mali ya Mwenyekiti wa Mkoa wa CCM ambaye ana Mwenyekiti wake wa Chama wa Taifa ambaye ni Mgombea wa nafasi muhimu ya maamuzi kwa hiyo maagizo toka juu lazima yafuate mkondo wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…