chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 16,859
- 28,112
Naona Start TV wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.
Nashauri Makonda au watu wengine wanaokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.
Sijui kama Chief Odemba na Star TV wamejipima vya kutosha kabla ya kutoa taarifa za kutukana watu hadharani.