Twilumba
JF-Expert Member
- Dec 5, 2010
- 12,576
- 14,522
Angalizo;Lissu hana ushahidi, anaishia kuamini tu kwamba Makonda anahusika. Ushahidi wa mahakamani uko very technical, mambo ya imani peleka kwa Mwamposa huko
Jinai haina ukomo..... there is a day!!!