Mafwele is watching himChief Odemba atafute bullet proof vest fasta
NotedOdemba it seems lengo lake sio uandishi wa habari in good faith, he is after something which is more than journalism
Wawashitaki ili ukweli ujulikaneNaona startv wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.
Nashauri Makonda au watu wengine waoiokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.
Sijui kama Chief Odemba na Startv wamejipima vya kutosha kabla ya kutoa taarifa za kutukana watu hadharani.
Naona startv wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.
Nashauri Makonda au watu wengine waoiokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.
Sijui kama Chief Odemba na Startv wamejipima vya kutosha kabla ya kutoa taarifa za kutukana watu hadharani.
Madtusi yapi hayo? Makonda alishatajwa na Lisu mara kadhaa wala hakukanusha, hana ubavu wa kwenda mahakamaniNaona startv wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.
Nashauri Makonda au watu wengine waoiokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.
Sijui kama Chief Odemba na Startv wamejipima vya kutosha kabla ya kutoa taarifa za kutukana watu hadharani.
Aende Mahakamani hata kesho ili na sisi tukafukue Utapeli wake wa Magari akishirikiana na Le MutuzNaona startv wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.
Nashauri Makonda au watu wengine waoiokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.
Sijui kama Chief Odemba na Startv wamejipima vya kutosha kabla ya kutoa taarifa za kutukana watu hadharani.
Hahaha unawaza nini?Chief Odemba atafute bullet proof vest fasta
Kwanini msimshtaki Lissu, mnaogopa nn?Naona startv wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.
Nashauri Makonda au watu wengine waoiokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.
Sijui kama Chief Odemba na Startv wamejipima vya kutosha kabla ya kutoa taarifa za kutukana watu hadharani.
Lisu anamtaja Makonda kila mahala ili (Makonda) aingie king kwa kujitia kumshitaki Lisu. Hapo ndipo (Makonda) atajua hajuiMakonda mbona hawamkamati na hawa chadema mbona wanachelewa kupeleka ushahidi ili Albert bashite avune alichopanda??sababu gani inaweza kukufanya ufanye mauaji,??umaarufu?? au fedha??,ifike hatua watanzania tukatae hawa maharamia.
Mbona kwa hili Chief Odemba hajamkashifu po pote Mr Makonda. Alichofanya ni kumuhemesha Tundu Lissu kuwa hana ushahidi wo wote dhidi ya Makonda na kwamba hata hiyo kesi yake huko London haina mashiko. Yaani kamtoa jasho Tundu Lissu ile mbaya. KawekaNaona Start TV wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.
Nashauri Makonda au watu wengine waoiokashifiwa na Odemba katika kujitafutia umaarufu binafsi na wa chama chake cha chadema, sasa wamburuze Mahakamani ili walipe fidia.
Sijui kama Chief Odemba na Star TV wamejipima vya kutosha kabla ya kutoa taarifa za kutukana watu hadharani.
Kama wewe akili yako imelala, unafikiri hata hao unao sema wamekashifiwa nao akili zimewaruka kichwani?Naona Start TV wanaruhusu Odemba, mwandishi wao aendeshe vipindi vya kukashifu bila hata kutoa haki ya kusikiliza upande wa pili.