BANDOKITITA
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 1,484
- 2,852
Basi mi naona yuko poa tu.Kwanza kuna dada yule anayetangazaga habar
kanyoa hivi kipanki mweupe sura yankisukuma
sura ngumu sana kwa mwanmke kutangaza habar
😃😃😃Labda hana uhakika wa kulipwa mshahara
Ha ha haBasi mi naona yuko poa tu.
Ha ha ha haAtakuwa ameblidi kwenye kiti.
Duuuu pole zaoHawajalipwa mshahara kwa mida mrefu.
Kweli kabisa Yani huyo dada alipooza kuliko msoma risala ya marehemHajalipwa salary yake kwa muda mrefu,tabasamu na uchangamfu ingetoka wapi?
Pesa ni sabuni ya roho.
Wasamehe tu wana njaa kali hawalipwi mishahara haoKwa kweli baadhi ya vyombo vya habari Tanzania kikiwemo Star TV bado Wana changamoto ya waandishi na wasomaji wa habari.
Yani mtu anasoma habari kama anaogopa studio au kawekewa bunduki kichwani. Kituo kikubwa kama Star TV kweli wanakosa wasomaji wa habari walio mahiri.
Huyu mdada aliesoma leo habari ya saa 2 usiku huu kanishangaza sana, sijui alikuwa mgonjwa au kalazimishwa. Mtu anasoma kwa temple ya chini, hachangamki, na ni kama ana wasiwasi.
Kusoma habari wapewe watu kama akina Machugu na baadhi wanaoimudu kama yeye siyo Kila mtu.
Huyu wa leo mmmmm. Dada pole sn hata km ni uchanga hapana .
Sahihi kabisa, hiki chombo cha habari kinatia huruma sn.Star tv ni kichekesho sana
Kwanza huwa wana matatizo yale yale kwenye habari hadi naona huwa wanafanya makusudi,sjui kwa vile hawalipwi vizuri
Kwanza kuna muda wanaonekana kwenye matukio mfano wazir au mkuu wa wilaya wanaweza hata wasiweke majina yao,afu video zao nyingi wanarekodi kwa simu tena simu zenyew za bei ndogo
Anaeweka picha sjui huwa n mlevi kuna muda anachanganya video mpaka anamtoa mood msomaji wa habari
Pia huwa kunakuchelewa kuletwa au kuoneshwa video iliyokusudiwa