Star tv ni zaidi ya saa nzima ipo offline tatizo nini?

Star tv ni zaidi ya saa nzima ipo offline tatizo nini?

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Kama kuna wahusika hebu tupeni majibu na kama hamjajua ndio mjue kuwa hampo hewani

Tunaikosa FUTUHI bhana.
 
Watakuwahawajalipia na Kwa nini Wanaendelea kuuza ving'amuzi vyao??????nimeangalia DSTV pia wameclose channel yao
 
Watakuwahawajalipia na Kwa nini Wanaendelea kuuza ving'amuzi vyao??????nimeangalia DSTV pia wameclose channel yao

Naona hii tasnia inataka kumshinda Anthon Dialo sijui ni kwakuwa alizoea mbeleko sasa chaliiii .
 
Walipokuwa wanasema mwaka huu wataisoma walijua ni sisi peke yetuee!
sawasawa.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Angalia futuhi ya mzee wenger
 
Nikajua wamejitoa kutumia hiki king'amuzi nilichonacho
 
Star tv Dira ya dunia tuu ndio kipindi kizuri hapo kwao.
 
Back
Top Bottom