Star wa Basketball USA Magic Johnson akiwa na mwanae wa kiume

Star wa Basketball USA Magic Johnson akiwa na mwanae wa kiume

Wazazi wake wamemridhia mtoto wao awe si riziki...hapendi kabisa kuvaa mavazi ya kiume

6320c8006d96d2de994fd5e550f305a8--losing-weight-weight-loss.jpg

ba82a237744905f1cb380fa2b02ca4a1.jpg
 
Zile sharia za uarabuni huwa tunaona kama ni kinyume na Haki za binadamu lakini ndio zinasaidia kudhibiti upuuzi kama huu.
Hizo sheria hazidhibiti ila zinafanya yafanyike kwa kificho
 
Hizo sheria hazidhibiti ila zinafanya yafanyike kwa kificho
Kataa au ukubali sheria kali zinasaidia kudhibiti mambo ya kipuuzi. Chukulia mfano hapa kwetu sheria ya miaka 30 jela kwa ubakaji na kutembea na wanafunzi hujaona hiyo imeleta improvement ingawa bado watu wana vichwa vigumu?
 
Ndiyo nasema kwamba sheria kali inafanya mambo yafanywe kwa uficho.

Mfano hili swala la kutembea na mwanafunzi linashikiwa bango angalau kwenye majiji makubwa lakini ukiingia mikoani bado watu wanatembea na wanafunzi mno.

Ni sawa na serikali ilivyovalia njuga ukeketaji lakini bado wanafanya sana tena wanawafanyia wakiwa wadogo.
 
Ulitakiwa useme magic Johnson akiwa na mtoto wake ambaye ni shoga sio mtoto wa kiume.

Mtoto wa kiume anafyededwa.
 
Dwayne Wade nae na mtoto wa kiume ana hii makato ya ki gay ana jiremba na sketi anavaa.

Jamaa mwanzo alikua anaonekana ana mawazo sana siku naona kakubali hana cha kufanya maana akileta upinzani kwa dogo wamarekani walivyo washenzi kushadidia mambo watamfilishi kila kitu
 
Back
Top Bottom