Star wa Brasil (IZA) Amchana Diamond kwa Kucopy Idea ya Video ya Wimbo wake na kuitumia kwenye GERE

Kweli diamond hao directors anaowatumia bure kabisa. Naona hata shuleni kwenye mitihani walikua wanapiga chabo mpaka jina.
Hamna kipya chini ya jua ndio ila copy basi na u edit/modify
 
Diamond anawezaje kuangalia video zote za duniani?Kama ndio njia unayotumia kumchafua diamond basi unakosea badala yake unafanya ngoma hii ya diamond iwe maarufu zaidi
Tafuta hiyo ngoma uiangalie wewe Guruguja acha kutema shudu
 
Wewe sio Shabiki. Wew n takataka. Mada za kazi peleka jukwaa la ajira. Kama huna utetezi n bora kukaa kimya..
Basi tutajie wimbo wowote wa hapa bongo zenye scenes ambazo hazilingani na video yoyote duniani
 
Kitu ambacho watu hawakijui ni kuwa, Diamond hata akiimba, "mabata madogo yanaogelea" views 2m kwa siku.
 
Basi tutajie wimbo wowote wa hapa bongo zenye scenes ambazo hazilingani na video yoyote duniani

Unapokuwa International artist lazma u'act as international. Nothin else

Copyn someone material s plagiurism.

Plagiurism is a crime...

He comitt an offence..

He is liable for conviction..
 
Unapokuwa International artist lazma u'act as international. Nothin else

Copyn someone material s plagiurism.

Plagiurism is a crime...

He comitt an offence..

He is liable for conviction..
Mzee baba acha kuzungukazunguka nitajie video yoyote ya hapa bongo ambayo haifanani kimaudhui na video yoyote duniani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…