Star wa Marekani Ellen DeGeneres Ametua Tanzania na mpenzi wake

Star wa Marekani Ellen DeGeneres Ametua Tanzania na mpenzi wake

View attachment 792012

Mtangazaji wa Talk show kubwa nchini marekani anayefahamika kama Ellen DeGeneres ambaye amejipatia umaarufu kutokana na kipindi chake kuwa na mvuto zaidi kwa sababu ya maudhui yake yalivyokuwa yakihusisha mastaa mbalimbali, Utani na hata baadhi ya story zinazowavutia zaidi mashabiki.

Sasa Good news ni kwamba star huyo wa Marekani yupo Tanzania na hiyo imejulikana baada ya kuonekana akiwa mbuga za wanyama na mpenzi wake Portia Derossi ambaye amepost kwenye ukurasa wake wa Instagram akionesha kuwa yupo bongo na kuandika maneno haya….>>>”Coffee break. [HASHTAG]#tanzania[/HASHTAG] @theellenshow @mlorentz23 @pjfaulstick @cliffspot @_honeybuck_” – Portia Derossi

Huwenda hii ikawa ni taarifa nzuri haswa kwenye kukuza utalii wa ndani na tukashuhudia list ya mastaa wa kubwa kuja Tanzania ikazidi kuongezeka kutokana na star huyo mkubwa ambaye ameshawai kuhoji mastaa wengine wakubwa Duniani kuja Bongo.
Vipi atapiga picha na mkulu?maana naona sasa ni fasheni kupiga picha na watu wa mapenzi ya jinsia moja hasa wakiwa na mkwanja
 
Yani hawa watz, alafu baadae wageuke na kuita wakenya roho mbaya wakati hao ndo wamejaa chui na wivu... this is what tanzanian said while she was in Kenya when they dint know she would also visiti Tanzania.


" Just say two lesbians are in Nairobi. Alijua Tanzania tungempiga stop Kama Tanzania tulimkataa ambassador wa UK aliyekuwa lesbian sasa Ellen angeweza tia guu Tanzania??.
Yani mnasifia msagaji kuja Kenya!! Ficheni huo upumbavu"


" Mnajifia Lesbian kuja Nairobi. Alafu jamaa anasema and her wife
Wakenya mli laaniwa. Ndomaana rahana zinakuja huko Kenya"



" We mjinga kweli unajisifu kutembelewa na msagaji?"



" Lesbians visited their fellows, they can't step in tz coz we don't recognize the shit!!"


" Hawa bwana wakishaonaga mzungu akili zinawaruka ndo maana kule mombasa madada zao wanapigwa mande na mbwa wa wazungu kaeni tu na huyo msagaji wenu"


" Kenya ni kitovu cha ushoga na usagaji, amekuja kuhakikisha ushoga/usagaji unatambulika rasmi na GoK"
 
Back
Top Bottom