Star wa muziki kutoka Nigeria Davido anunua gari la kifahari

Star wa muziki kutoka Nigeria Davido anunua gari la kifahari

Alikiba alinunua Lamborghini Aventador ila hapendagi kulionyesha tu,amempa haro rapa ndio analitumia.
 
haro rapa ndiyo nani huyo?
Ni huyo dada hapo.
Screenshot_2020-10-01-00-11-28-1.jpg
 
Watu wanazungumzia lamborghin kuna wengine wamekomaa ooooh v8 sijui nini....hiyo ndo gari sasa
 
Ali kiba alinunua gari hiyo miaka mitatu iliyopita lakini mtu wetu hapendi show off. [emoji12]
Labda kwa kuuza unga lakini sio mziki huu wa bongo
 
Mwache afurahie mafanikio yake,hata asingekuwa mwanamziki bado angekuwa anadrive mandinga kama hayo,kwani baba yake mzazi net worth yake ni zaidi ya USD mil 700.Kwa kifupi jamaa amezaliwa kazikuta hela na yeye anazidi kutengeneza hela zake binafsi.
Hizi details umezitoa wapi?
 
Back
Top Bottom